Green banana in coconut sauce

62

Ingredients

 • 8-10 green bananas
 • 2 chopped tomatoes
 • 2 onions (small)Mixed peppers (option)
 • 1 tbsp cumin powder
 • 1 tsp black pepper
 • 1 tbsp garlic (grated or chopped )
 • 3 cups or more of coconut milk
 • Tumeric powder (1 tsp)
 • Salt

Method

1.Peel the bananas and cut into half or small pieces,make sure you peel the bananas well so as the green peel should not be visible.

2.Boil your bananas for one minute, drain the water and return the bananas to the pan.

3.To the bananas add boiled/cooked meat with its soup, 2 chopped tomatoes, 2 chopped onions, chopped mixed peppers and pour in the coconut milk as required.

4.Add 1tbsp of cumin powder, 1tsp of black pepper, 1tbsp of

grated garlic, 1tsp of turmeric and salt

5.Mix well and when well cooked, your bananas are ready to be served.

SWAHILI VERSION

Mahitaji

 • Ndizi 8-10
 • Nyanya / tungule 2 zikate kate
 • Vitunguu maji 2 vidogo (vikate kate)
 • Pilipili boga/hoho kiasi (si lazima)
 • Bizari nyembamba /uzile kjk 1 cha chakula
 • Pilipili manga kjk 1 kidogo
 • Kitunguu saum kjk 1 cha chakula
 • Nazi / tui la maji vikombe 2 au Zaidi
 • Bizari ya mchuzi (kjk 1 kidogo )
 • chumvi kiasi ikihitajika

 

Matayarisho

1.Menya ndizi zako na uzikate kate kwa size utakayopenda.Menya ndizi zako vizuri mpaka ule ukijani usionekane kabisa.

2.Zitie ndizi zako kwenye sufuria/pan na kisha chemsha kwa dakika moja tu kwa maji ya baridi au ya moto ili kutoa utomvu.Ziepue na kisha zirudishe kwenye sufuria yako

3.Kwenye ndizi zako ulizochemsha kiasi,weka nyama iliochemshwa na supu yake,nyanya mbili zilizokatwa katwa,vitunguu viwili zilizokatwa katwa,pilipili boga zilizokatwa(sio lazima) kisha weka nazi ya kutosha.

4.Weka Bizari nyembamba /uzile kjk 1 cha chakula ,Pilipili manga kjk 1 kidogo ,Kitunguu saum kjk 1 cha chakula ,Bizari ya mchuzi (kjk 1 kidogo ) ,chumvi kiasi ikihitajika.

5.Acha ichemke na ikishawiva kama unavyotaka ziepue na tayari kwa kula

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Leave A Reply

Your email address will not be published.