Half Cakes.

259

Ingredients

 • 2 1/2 cups all all purpose flour
 • 1/2 cup sugar
 • 1/2 tsp salt
 • 1 tbsp oil
 • 1 tbsp butter / margarine
 • 1 tsp baking powder
 • 1/2 tsp baking soda
 • 1 tsp vanilla essence
 • 1 n half cups water or whole milk for kneading

 

Method:

1.In a bowl add 2 ½ cups of all purpose flour, ½ cup of sugar and ½ tsp of salt.Add 1tsp of baking powder and ½ tsp of baking soda.

2.Then add 1tbsp of butter/magarine,1tsp of oil and 1 tsp of vanilla essence to the mixture and mix well.

3.Add water or milk and start to knead,start kneading for 4-5 minutes.The dough should not be hard and not soft like a mandazi dough.Leave it for 10-15 minutes.

4.Roll the dough and cut it into shapes(diamond or square)

5.Deep fry them in low heat.

6After the first batch the oil will be hot so its best if you add oil at room temperature to cool it down or u can take the pan off the heat to let it cool.

7.Ready to serve.

SWAHILI VERSION.

Mahitaji

 • Unga wa ngano vikombe 2 na nusu mpaka 3
 • Sukari nusu kikombe
 • Chumvi kidogo
 • Mafuta ya kupikia kjk 1 cha kula
 • Siagi kjk 1 cha kula
 • Baking powder kjk 1 kidogo
 • Baking soda nusu kjk kidogo
 • Arki ya vanilla kjk 1 kidogo
 • Maji au maziwa ya maji kikombe 1 na nusu ya kukandia.

 

Mahitaji:

1.Kwenye bakuli Unga wa ngano vikombe 2 na nusu mpaka 3 ,Sukari nusu kikombe ,Chumvi kidogo. Weka Baking powder kjk 1 kidogo na Baking soda nusu kjk kidogo

2.Mafuta ya kupikia kjk 1 cha kula ,Siagi kjk 1 cha kula,Arki ya vanilla kjk 1 kidogo kisha uchanganye vizuri.

3.Weka maji au maziwa kisha anza kukanda kwa dakika 4-5.Kanda unga wako lakini usiwe mlani sana kama wa mandazi.Uache kwa dakika 10-15

4.Sukuma donge langu na ukate kwa shape ya diamond au pembe nne.

5.Kaanga half cake zako kwa moto wa kawaida (isiwe ya moto),half cake zako zikianza kupanda juu unaweza kuzigeuza na ukaongeza moto kidogo iliziive vizuri.

6.Baada ya kutoa za kwanza,moto utakua bado mkali unaweza kuongeza mafuta ya baridi ili kupooza mafuta au ukaweka mafuta pembeni ili yapoe kisha uendelee.

7.Tayari kwa kula

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Leave A Reply

Your email address will not be published.