Lemon and tomato chicken

476

Ingredients
◽2 thighs and drumsticks
◽1 large fresh tomato
◽1 tbsp tomato puree
◽1 lemon
◽Salt to taste
◽1 tbsp curry powder
◽1 tbsp cumin powder
◽1/2 tsp black paper powder
◽1 tsp mixed herbs (optional)
◽1/2 tsp umeric
◽3 tbsp oil
◽1 tbsp garlic
◽1 tsp ginger
◽1/2 cup water

METHOD

1. Blend or grate the tomato
2. Prepare and wash the chicken, cut in to 2 pcs each thigh
3. Marinate it with all ingredients listed above
4. Squeeze and add lemon juice and left lemon peel as well
5. Marinate for 15 to 30 minutes
6. Grill for 30 t0 35 minutes or until the chicken is done.
7. Garnish with coriander leaves
8. Enjoy

Swahili version

Mahitaji

◽Mapaja mazima ya kuku 2
◽Tomato 1 kubwa ilowiva au 2 ndogo
◽Tomato puree Kjk 1
◽Limau 1
◽Chumvi kiasi
◽Curry powder kjk 1 kikubwa
◽Bizari nyembamba kjk 1 kikubwa
◽Pilipili manga nusu kjk kidogo
◽Herbs zilochanganywa kjk kidogo (si lazima)
◽Bizari ya mchuzi nusu kjk kidogo
◽Mafuta ya kupikia vjk 3
◽Kitunguu saum kjk 1
◽Tangawizi kjk 1
◽Maji nusu kikombe kama unapenda asiwe mkavu

MATAYARISHO

1. Saga nyanya/tomato iwe laini
2. Mkoshe na umtengeneze kuku, mkate vipande 2 kila paja 1, mueke alama ya kumkata kata kwa kisu
3. Mtie viungo na vitu vyote
4. Kamua limau, ikisha uyatie na maganda yaliyobaki
5. Mchanganye vizuri muweke akolee viungo kwa muda wa dkk 15 hadi nusu saa
6. Mchome kwa dakika 30 hadi 35 au mpaka aviwe na abaki na rojo la tomato
7. Weka majani ya coriander juu
8. Enjoy

 

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Leave A Reply

Your email address will not be published.