Simple and yummy Garlic & Herbs Chicken

54

Ingredients

 • 1 chicken (soft), cut in to pieces
 • 1 tsp cumin powder
 • 1 tsp garam masala
 • 1 tsp curry powder
 • 2 tsp garlic & herbs powder
 • 1 tsp all purpose seasoning
 • 1 tsp coriander leaf (dried)
 • 2 tsp oil (option )

Method

1.In a bowl add 1tsp of cumin powdr,1tsp of garam masala,1tsp of curry powder,2tsp garlic and herbs powder,1tsp of all purpose seasoning,1tsp of coriander leaves(dried).

2.Add lemon or lime juice to mixture of spices.You can 2tsp of oil but this step is optional.You can also add fresh garlic(optional).

3.Apply the mixture on your chicken and leave it for 15-30 minutes

4.Bake or grill it.You can gril it until its dry or you can leave some of the juices of the chicken.It depends with what you would like to have the chicken with.

5.Ready to serve.

SWAHILI VERSION

Mahitaji

 • Kuku mlaini 1 mkate kate
 • Bizari nyembamba kjk kidogo
 • Garam masala kijiko kidogo
 • Curry powder kjk kidogo
 • (Garlic & herbs ) vijiko 2 vidogo
 • All purpose seasoning kjk kidogo
 • Majani makavu ya coriander kjk kidogo
 • Mafuta vijiko 2 (si lazima)
 • Unaweza kuengeza kitunguu saum kilosagwa

Matayarisho

1.Katika bakuli weka binzari nyembamba kijiko kidogo,Garam masala kijiko kidogo,curry powder kijiko kidogo,Garlic and herbs vijiko 2 vidogo,All purpose seasoning kijiko kidogo,majani makavu ya coriander kijiko kidogo.

2.Weka ndimu kwenye mchanganyiko wako na ukoroge vizuri.Katika hatua hii unaweza kuweka mafuta vijiko viwili vidogo na pia unaweza kuweka kitunguu swaumu.

3.Paka mchanganyiko wako kwenye kuku na uache ikolee viungo kwa dakika 15-30

4.Tayari kuchomwa.Unaweza ukamchoma mpaka akakauka au ukabakisha zile sauce.Inategemea unamla kuku wako na nini.

5.Tayari kwa kula

 

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Leave A Reply

Your email address will not be published.